All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Mshahara
Wa Mkuu Wa Wilaya
Mkuu Wa Wilaya
Ya Mpwapwa
Amiri Mkalipa
Mkuu Wa Wilaya Arumeru
Aviolaa Mbosso
Wana Scout Mkoa Wa Arusha
Mpanzu Na Meneja
Mkuu Wa Simba
Songwe Centre
Mkuu Wa
Mkoa Wa Iringa
Taifa Stars vs Morocco
Mashindano Ya Pikipiki Za Malekani
Saad Mtambule
Chan 29024 Tanzania vs Morocco
Meneja Mkuu Wa
Simba
Vijiji Vya Misenyi Kagera
Morocco vs Tanzania Live
Jezi Mpya Za Azam 2025 2026
Ajari Mbaya Ya Mganga Mfawidhi Arusha
Simba Wa
Tanzania Mnyama
Chuo Cha Bahari Dar ES Salaam
Ajali Ya Moto
Mkuu WA
Majeshi Tanzania
Mlima Kilimanjaro
Mheshimiwa
Mkutano Mkuu WA
Chama Cha Mapinduzi
Mungu
Mkuu
Ubungo
Nabii Mkuu
Tanzania
Paul Makonda
Usafis
Tigo Fiesta
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Mshahara
Wa Mkuu Wa Wilaya
Mkuu Wa Wilaya
Ya Mpwapwa
Amiri Mkalipa
Mkuu Wa Wilaya Arumeru
Aviolaa Mbosso
Wana Scout Mkoa Wa Arusha
Mpanzu Na Meneja
Mkuu Wa Simba
Songwe Centre
Mkuu Wa
Mkoa Wa Iringa
Taifa Stars vs Morocco
Mashindano Ya Pikipiki Za Malekani
Saad Mtambule
Chan 29024 Tanzania vs Morocco
Meneja Mkuu Wa
Simba
Vijiji Vya Misenyi Kagera
Morocco vs Tanzania Live
Jezi Mpya Za Azam 2025 2026
Ajari Mbaya Ya Mganga Mfawidhi Arusha
Simba Wa
Tanzania Mnyama
Chuo Cha Bahari Dar ES Salaam
Ajali Ya Moto
Mkuu WA
Majeshi Tanzania
Mlima Kilimanjaro
Mheshimiwa
Mkutano Mkuu WA
Chama Cha Mapinduzi
Mungu
Mkuu
Ubungo
Nabii Mkuu
Tanzania
Paul Makonda
Usafis
Tigo Fiesta
Mkuu WA
Majeshi WA Kwanza
Mwanahamisi
RC Makonda
Ndovu
Mkuu
Uchaguzi Mkuu
2020
Mkuu WA Mkoa WA
Iringa Hotuba
Mungu Mkuu
Song
Waziri
Mkuu
Mganga
Mkuu
Nabii
Mkuu
We Mungu
Mkuu
1:48
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, William Simon Mwakilema amewahimiza Wananchi wa Wilaya ya Korogwe na Wananchi wa maeneo mengine waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura siku ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba mwaka huu. Amesema, ni haki ya kila Mtanzania mwenye sifa kuchagua Viongozi ambao watawaletea maendeleo, akisisitiza kuwa wananchi watahakikishiwa ulinzi na usalama bila kubugudhiwa. | Mwanahalisi
207 views
7 months ago
Facebook
Mwanahalisi
5:17
Mheshimiwa Waziri nenda kaisafishe Wilaya ya Muheza-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Lushoto-Tanzania 🗓️Februari 17, 2026 ———— ametoa maagizo hayo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya mkoa wa Tanga. | Ofisi ya Waziri Mkuu
22.8K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:37
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo, amevipomgeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuhakikisha amani inatawala katika maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika na kueleza kuwa wilaya hiyo iko shwari. Aidha amewashukuru wananchi wilayani humo kwa kutii maelekezo ya serikali kuto kushiriki katika matukio ya vurugu na kusalia majumbani jana tarehe 9 Desemba mwaka huu. Amesema ni kutokana na hali hiyo shughuli mbalimbali za kiuchumi zimerejea huku akiwataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu.
1.8K views
5 months ago
Facebook
Mwanahalisi
6:47
Mkuu wa Wilaya ya Ilala amesitisha uendelezaji wa ujenzi katika eneo lenye mgogoro lililopo Karakata mtaa wa Uwanja wa Ndege kata ya Kipawa, Dar es Salaam ili kutafuta suluhu ya eneo hilo kupitia ushirikiano wa vyombo vya serikali. Mpogolo ametoa kauli hiyo na kumuagiza Mkurugenzi wa Jiji kushirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya ili kupitia upya ramani za upimaji wa eneo hilo na ikiwezekana kushirikiana na vyombo vingine ili kumaliza msuguano kati ya wakazi wa eneo hilo na mwekezaji anayejenga je
487.7K views
May 23, 2025
Facebook
Azam TV
3:30
Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameagiza kuchukuliwa hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na kumfikisha mahakamani Afisa Tabibu msaidizi Hospitali ya wilaya ya wilaya ya Urambo anayefahamika kwa jina la Juma Selemani ambaye anatuhumiwa kumbaka mgonjwa aliyekuwa akimpatia matibabu ya magonjwa ya wanawake. Uamuzi huo wa mkuu wa mkoa wa Tabora umekwenda sambamba na kuziagiza mamlaka kumsimamisha mganga mkuu wa wilaya ya Urambo David Manyama ambaye anatuhumiwa kufumbia macho vitendo vya ukiukwa
383.5K views
5 months ago
Facebook
Channel Ten Tz
3:23
Hali ilivyo katika maeneo ya kupiga kura wilaya ya Arusha mjini Mkuu wa WILAYA na Ocd wamezungumza | Mwandishi Wa Wananchi Kusaga
28.4K views
6 months ago
Facebook
Mwandishi Wa Wananchi Kusaga
6:18
WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUNZENI AKIBA YA CHAKULA ▪️Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma. Amewaeleza viongozi hao kutoka mikoa ya Dodoma n
40.5K views
5 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:59
Mkuu wa Mkoa wa Njombe ANTONY MTAKA akitoa somo na ujumbe KUNTU, nawaamkia maamkizi mema ndugu zangu Watanzania kwa hisani ya RC Mtaka, BIG 🧠🧠🧠 Good Morning My Country People….!!! | jemedarisaid
210.7K views
5 months ago
Facebook
jemedarisaid
24:29
Jokate Mwegelo ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 na licha ya umri wake mdogo alijiingiza katika medani za siasa mapema tu na sasa ni mkuu wa Wilaya ya Temeke , iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Sikiliza safari yake. Amezungumza na mwanahabari Anne Ngugi. | BBC Swahili
348.1K views
Jun 25, 2021
Facebook
BBC Swahili
3:17
#VIDEO: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema amani ndiyo chemchem ya kila aina ya maendeleo ambayo kila Mtanzania anajivunia, huku akiwashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuhubiri umoja na mshikamano wa kitaifa kupitia mahubiri na sala zao. “Bila nyinyi viongozi wa dini ambao mmekuwa mkihubiri kwa ajili ya amani ya viongozi wetu misikitini na makanisani, kufanya kazi hiyo na kusoma dua kwa ajili ya Taifa letu, tusingefika hapa tulipofika,” amesema Mpogolo. Ameyasema hayo wakati w
12.3K views
8 months ago
Facebook
ITV Tanzania
2:09
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewahakikishia wajasiriamali wanaoomba mikopo ya serikali kupitia mapato ya ndani ya halmashauri ya asilimia 10 kuwa kila mjasiriamali aliyeomba na kukidhi vigezo atapewa mkopo huo. DC Mpogolo ameongeza kuwa mikopo hiyo itaendelea kuongezeka na kuwataka wajasiriamali pia kuomba kandarasi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam ambayo inasimamia miradi mingi ya maendeleo. Imeandaliwa na @moseskwindi | Azam TV
1.4K views
11 months ago
Facebook
Azam TV
6:23
Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa na Wilaya ya Ruangwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa kumuunga mkono wakati wote ambao amekuwa mbunge wa jimbo hilo. "Imefika wakati kwa mshikamano tulioujenga sasa ni wakati wa kutoa fursa kwa Wana-Ruangwa wengine wapenda maendeleo waweze kuung
10.4K views
10 months ago
Facebook
Habari Star TV Tanzania
2:32
#VIDEO: Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Bw. Godfrey Eliakimu Mnzava, ameapishwa rasmi kuwa Mkuu wa Wilaya ya hiyo baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akitokea katika nafasi ya katibu tarafa wilayani ilemela, mkoani Mwanza. Akizungumza baada ya kuapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na viongozi mbalimbali Mnzava amemshkuru Rais kwa kumuamini kumpa majukumu hayo huku akianisha vipaumbele vyake ikiwa ni kuimarisha usalama, kusimamia mapato na kutatua ker
13.4K views
Jan 27, 2025
Facebook
ITV Tanzania
1:40
Highlights: Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, alipowasili Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Kwa lengo la kuzungumza na Askari wa Uhifadhi wa Misitu, na kutembelea kujionea Shamba kubwa la Misitu la Sao Hill lililopo ndani ya Wilaya ya Mufindi Mkoani humo. #FocusTVTanzania | Focus TV Tanzania
2.4K views
6 months ago
Facebook
Focus TV Tanzania
2:57
WAZIRI MKUU Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM-TAMISEMI) awaandikie barua Wakuu wote wa Mikoa ili waunde timu za ukaguzi wa majengo na miradi kwenye mikoa yao kama njia ya kukabiliana na wakandarasi wanaokiuka makadirio ya gharama za ujenzi (BOQ) wa miradi ya Serikali. Ametoa agizo hilo leo Jumapili, 21 Desemba 2025 wakati akizungumza na viongozi na wananchi wa Wilaya za Ruangwa na Nachingwea, mkoani Lindi akiwa katika ziara ya siku tatu ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo. Ak
848 views
5 months ago
Facebook
Mwanahalisi
11:25
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila mapema leo amefika eneo la mgogoro wa nyumba ya Mama mjane Block D Kunduchi Wilaya ya Kinondoni ambapo ameagiza kuundwa kamati maalumu chini ya ofisi yake huku pia akimueleleza mkuu wa wilaya ya kinondoni Mhe Saad Mtambule kuunda kamati nyingime ili kamati hizo ziweze kushughulikia kwa haraka mgogoro huo na haki ipatikane kwa wakati. Mgogoro huo unahusisha nyumba pamoja na viwanja namba 38,39 na 40 blok D vilivyoko kunduchi beach Kinondoni, ukim
197.9K views
4 months ago
Facebook
Gilly Bonny Tv
6:22
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa anataka kuona kila fedha inayotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo inatumika kama ilivyokusudiwa. Amesema kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona watendaji wa Serikali wenye dhamana wanashindwa kufuatilia matumizi ya fedha na kusababisha kushindwa kutekelezwa kwa miradi kwa viwango na ubora kwa manufaa ya wananchi. 📍Lushoto-Tanga 🗓️Februari 17, 2026 —————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa Lushoto baada ya kuzindua mitambo ya hewa tiba (O
47.1K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
5:45
MKUU WA WILAYA YA MJINI AJA NA SERA YA MABADILIKO
475 views
2 weeks ago
YouTube
AL FATAH TV ONLINE
2:21
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametangaza rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mwigulu Nchemba, atakuwa na Ziara yake ya Kikazi Mkoani Iringa Kuanzia Mei 02 hadi 03, 2026 akianzia katika Wilaya ya Mufindi Mkoani humo. #FocusTVTanzania
29.5K views
3 weeks ago
TikTok
focustvtz
0:43
Waziri Mkuu aagiza Halmashauri kulipa walimu wanaojitolea badala ya wazazi.
33.2K views
2 months ago
YouTube
WEPESI TV
1:00
Mwendokasi Tv 📺 on Instagram: "Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasssim Majaliwa akiveshwa mavazi ya asili kwenye tukio maalum la lililoandaliwa na wananchi kwa ajili ya kumuaga mara baada ya kulitumikia jimbo la Ruangwa kama Mbunge kwa miaka 15. Tukio hilo linaendelea muda huu kwenye Uwanja wa Wandolwa ambalo limeudhuliwa na viongozi mbalimbali Kiwemo Waziri wa Vijana Joel Nanauka pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma. #weruntogether #mwendokasiupdates"
18.9K views
5 months ago
Instagram
mwendokasitv
1:09
📍ARUSHA,TANZANIA WAZIRI MKUU ATUA ARUSHA, KUFANYA ZIARA WILAYA ZA KARATU NA MONDULI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo Ijumaa Machi 06, 2026 amewasili Mkoani Arusha kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akitarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi kwenye Wilaya za Karatu na Monduli ili kukagua miradi ya maendeleo, kuweka mawe ya msingi, kuzungumza, kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Mhe. Mwigulu amepokelewa katika Uwanja wa ndeg
93 views
2 months ago
TikTok
jiji_la_arusha
5:37
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Asema Hatari katika Ujenzi wa Mabweni
400.3K views
7 months ago
TikTok
focustvtz
1:27:35
#LIVE: Waziri Mkuu Akifanya Ziara ya Kikazi Wilaya ya Nyamagani Mkoa wa Mwanza
4.3K views
5 months ago
YouTube
The Chanzo
4:56
SHIRIKA LA MAENDELEO YA VIJANA NA FURSA KWA WANAWAKE TANZANIA on Instagram: "Mkuu wa Wilaya ya Chato mkoani Geita, Louis Bura, ameielekeza Halmashauri ya Wilaya hiyo kutunga sheria ndogo itakayowalazimisha wazazi kuchangia chakula shuleni ili kuboresha mahudhurio na ufaulu wa wanafunzi. Bura ametoa maelekezo hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi, yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Miembeni wilayani humo. Amesema lishe bora kwa wanafunzi ni ms
671 views
3 months ago
Instagram
shimavifuwata
2:53
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameeleza tukio la jaribio la utapeli lililofanywa na Kange Thabiti (45), mkazi wa Kiloleni mkoani humo, aliyedaiwa kujitambulisha kwa uongo kuwa ni afisa wa usalama wa taifa. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Machi 16, 2026, RC Chacha amesema mtuhumiwa huyo alijaribu kumtapeli Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai, kwa kumuomba amtumie zaidi ya shilingi laki nne. Ameeleza kuwa mtuhumiwa alidai fedha hizo zilihitajika kwa dharura kufuatia ki
6.8K views
2 months ago
TikTok
ufr_tz
0:47
OFISI YA WAZIRI MKUU on Instagram: "WAZIRI MKUU ACHUKIZWA NA MIGOGORO YA ARDHI ▪️Awasisitiza watendaji kuwafuata wananchi na kutatua kero zinazowakabili WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasisitiza Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya pamoja na watumishi wa umma wahakikishe wanatenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika maeneo yao hususani kwenye migogoro ya ardhi katika ngazi zao za kiutawala."
3.2K views
3 months ago
Instagram
owm_tz
15:30
RC WA "FYEKELEA MBALI: "NYOOSHA MKONO JIFANYE UNAJIKUNA"
3M views
Nov 10, 2018
YouTube
Millard Ayo
37:58
Mapya Yaibuliwa Kwenye Mgogoro wa Nyumba Mjane Alice na Mohammed Yusufali, Mabaunsa Waitwa Polisi
78K views
8 months ago
YouTube
The Chanzo
1:54
elikunda_ on TikTok
Feb 26, 2025
TikTok
elikunda_
See more
More like this
Feedback