Mkataba wa Ngoma umebakiza miezi minne hivi sasa ili ufikie tamati na kwa sasa yuko huru kuingia makubaliano ya awali na timu yoyote tofauti na Simba kwa vile mkataba alionao uko chini ya ...
Ni usiku uliogubikwa na nyakati za furaha, huzuni, shangwe, vurugu na historia ya aina yake wakati Everton ilipotoka sare ya mabao 2-2 na Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu England (EPL), ...
Rekodi ya JKT Tanzania kuwa timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambayo haijapoteza mechi nyumbani itaendelea kudumu?
Katika miaka kadhaa iliyopita Tanzania iliingia hasara ya mabilioni ya shilingi iliyolipa kama fidia kwa kampuni mbalimbali ...
Kahawa ni mojawapo ya bidhaa muhimu zaidi duniani, ikiwa ya nne kwa thamani ya mauzo baada ya mafuta, dhahabu na gesi asilia.
Maria Ambilikile amesema katika mizunguko nane ya matibabu, mzunguko mmoja hugharimu Sh1.8 milioni hali ambayo kwa kipato cha ...
Heche amesema umefika wakati sasa kwa Watanzania kujua kuwa serikali inapaswa kuwajibika kwao tofauti na ilivyo sasa, wengi ...
Yaliyopendekezwa ni utoaji wa elimu juu ya masuala ya ardhi kwa wananchi, kutunga sera za ardhi shirikishi, kusimamia upimaji ...
Matukio ya wizi wa ng’ombe yalishamiri mwaka 2023/2024 lakini Jeshi la Polisi lilifanya msako na kuwakamata wahusika wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga alipotafutwa na Mwananchi Digital kuthibitisha kutokea kwa kifo hicho ...
Dar es Salaam. Wataalamu wa Tanzania na wadau wa asasi za kiraia, wametoa mapendekezo ya njia za kudumisha ufadhili baada ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results