Pengine umesikia kuhusu microbiome - makundi ya bakteria na aina nyingine ndogo ndogo ya vidudu ambavyo huishi katika matumbo yetu. Imebainika kuwa bakteria hao wana virusi ambavyo vipo ndani na nje ...