Katika jamii ya kimasai kuua Simba ni jambo linalokufanya upate heshima. Lakini sasa toka mamlaka zinazoangalia hifadhi nchini Kenya wameweza kurudisha amani kati ya Wamasai na Simba. Kwa muda mrefu ...